Lowasa ndiye alikuwa malaika hapo CCM, jiulize akina M/kiti na wenzake walikuwa akina nani. Ukitaka kujua hilo angalia umati wa wana CCM walivyokuwa wanamuunga mkono. Hivyo basi, hakuna msafi CCM ambaye angejidai kumfanya EL kama Besigye.Dah! Ila Nseven amezidi sana anamnyanyasa sana mwenzake.
Lowasa angepata misukosuko kama hyo na afya yake ya mgogoro tayar angekuwa habar nyingne
Tusha mzika sikunyingiDah! Ila Nseven amezidi sana anamnyanyasa sana mwenzake.
Lowasa angepata misukosuko kama hyo na afya yake ya mgogoro tayar angekuwa habar nyingne