picha za kishetani

LEO Novemba 12, 2013 ni siku ya
kuzaliwa Rais wa Awamu ya Tatu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Benjamin William Mkapa aliyezaliwa
Novemba 12, 1938 huko Ndanda,
Masasi mkoani Mtwara na ametimiza
umri wa miaka 75.
 
LEO Novemba 12, 2013 ni siku ya
kuzaliwa Rais wa Awamu ya Tatu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Benjamin William Mkapa aliyezaliwa
Novemba 12, 1938 huko Ndanda,
Masasi mkoani Mtwara na ametimiza
umri wa miaka 75.

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_watausoma bila kuelewa maana mkuu.
 
LEO Novemba 12, 2013 ni siku ya
kuzaliwa Rais wa Awamu ya Tatu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Benjamin William Mkapa aliyezaliwa
Novemba 12, 1938 huko Ndanda,
Masasi mkoani Mtwara na ametimiza
umri wa miaka 75.


Sasa hii nayo ni picha ya kishetani???????? mweh!
 
mimi sina za kishetani labda niweke za malaika
 
I see!,
mashetani ni weupe. Nafikiri watakua wanamajina kama cameroun n.k.
 
wewe tunajadili watu waweke picha za kishetani wewe unaongelea siku ya kuzaliwa mbona sisi hatutangazi siku ya kuzaliwa kwetu
 
Marehemu Shekh Yahaya kaacha vijana wake?
 
mkuuuuu
nitake radhi mimi si kijana wa yahaya ila nimezipata tu nikataka kushare
 
...picha za kishetani ni kila tendo lililo kinyume na maagizo ya Mungu...
 
mkuuuuu
nitake radhi mimi si kijana wa yahaya ila nimezipata tu nikataka kushare
Ninayo camera CANON sijui ntawapata wapi shetani ilinipige picha zao maana naona mwenzetu unamawasiliano nao au nitumie hata E-mail address zao nipate kuwasiliana nao wapi ntawapata
 
Nenda magomeni utaona majini ya shehe yahaya, aliyasahau, bado wanae hawakuweza kuyakamata yote!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…