Nime Miss sana zile picha za katuni za kwenye magazeti ya zamani.
Mwenye picha za wale wa kina madenge . Yule jamaa harakati za pimbi., Wa kina kifimbo cheza. Yule mwingine mnyooo was fidodido. Na zingine nyingi.
Atupie hapa tujikumbushe. Tulifresh kidogo