Picha za Idi hizi hapa, ni kufa mtu LOLZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za Idi hizi hapa, ni kufa mtu LOLZ

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 1, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]Mr. Guiness ambaye ni Costa Siboka, akionesha uso wa tabasamu wakati akipelekeshwa puta na mnenguaji wa Akudo, Nadine Esalaa (aliyeinama).
  [​IMG]Mshabiki wa Akudo wakiserebuka.
  Waislamu duniani kote, jana walisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr…
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]Mshabiki wa Akudo wakiserebuka.
  Waislamu duniani kote, jana walisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr…
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG]HOTUBA YA MH. JAKAYA MRISHOKIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE BARAZA LA EID-EL-FITR, DODOMA, TAREHE 30 AGOSTI, 2011
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG]Jana ilikuwa ni Idd Mosi kitaifa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel ilifanya onesho maalumu kwa wateja wake katika kampeni yake mpya ya Epiq
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  …
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [h=2]Eid-el-Fitr … Dar … Tafakari …[/h]leave a comment »
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  And petty traders found a good opportunity to undertake their businesses …
  [​IMG]
  Photos at a pay
  [​IMG]
  Ice cream …
  [​IMG]
  Buns, kacholis and many other items …
  And some were in the company of their parents/guardians/sisters …
  [​IMG]
  The most challenging point and task … was …. crossing the main road … the two traffic police officers who were there had a hard time managing the situation and ensuring that no vehicle did run over kids …
  [​IMG]


   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]
  [​IMG]
  [TABLE="class: tr-caption-container, width: 590, align: center"]
  <tbody>[TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Ni Coco Beach jiijini Dar es Slaam, jana mchana. Picha zote na Victor Makinda[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [TABLE="class: tr-caption-container, width: 590, align: center"]
  <tbody>[TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Picha zote na Victor Makinda

  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160


  [​IMG]
  Sheikh Mkuu na mufti wa Tanzania Issa bin Shabaan Simba akimkaribisha katika baraza la Iddi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete lililofanyika katika msikiti wa Gaddafi Mkoani Dodoma
  [​IMG]

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bwana Winston Chinduge mkazi wa Gairo,mkoani Morogoro ambaye ni mmoja wa majeruhi wa Basi la Champion lililopata ajali juzi mkoani Dodoma.Majeruhi hao wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma.
  [​IMG]

  Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bi. Ashura Kassala, mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam aliyelazwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma kufuatia kupata majeraha makubwa kutokana na ajali ya basi La Champion lililopata ajali juzi mkoani Dodoma.Rais Kikwete alikwenda kuwapa pole majeruhi hao baada ya kulihutubia baraza la Iddi lililofanyika katika msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma

  [​IMG]

  Rais Jakaya Kikwete akihutubia Baraza la Idd lililofanyika katika Msikiti wa Gaddafi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Sikukuu ya Idd el Fitr yaliyofanyika kitaifa mjini Dodoma.Picha na Freddy Maro-IKULU
  [​IMG]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi na waislamu katika baraza la Iddi el Fitri lililofanyika huko ukumbi wa Salama hall Bwawani Hotel mjini Zanzibar.
  [​IMG]
  Makamo wa kwanza wa Rais Seif Sharif Hamadi akisalimiana na Waziri wa katiba na Sheria wa Zanzibar Abubakari Khamis Bakari baada ya kuingia katika kiwanja cha maisara mjini zanzibar kwa ajili ya kuswali swala ya Idi Elfitri.
  [​IMG]
  Rais wa Zanzibar Alhaji Dr,Ali Mohd Shein pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na serikali na wananchi,wakiwa katika swala ya iddi ambayo imeswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar.
  [​IMG]
  Baadhi ya kinamama waliohudhuria katika swala ya Idi Elfitri huko katika kiwanja cha Maisara mjini Zanzibar

  [​IMG]
  Wananchi mbalimbali wa Zanzibar wakisikiliza hotuba ya Idi Elfitri baada ya kumaliza kuswali swala ya Idi huko katika kiwanja cha maisara zanzibar.Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu -Zanzibar
  [​IMG]
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimu waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
  [​IMG]

  Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Iddi katika msikiti wa kichangani uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam leo asubuhi

  [​IMG]
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa mkono wa Iddi baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha zote:

   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Swala ya Eid El-Fitr, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo Agosti 31.
  [​IMG]
  [​IMG]
  Immam Mkuu wa Msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Masoud Mohamed Jongo, akitoa mawaidha baada ya swala ya Eid El-Fitr iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo, Agosti 31, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
  [​IMG]
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salum na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba (kushoto), wakiwa katika swala ya Eid El-Fitr, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo, Agosti 31
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salum, wajumuika pamoja na waumini wa dini ya kiislamu kuswali swala ya Eid El-Fitr, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo, Agoost 31.

  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa Swala ya Eid El- Fitr, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo Agost, 31
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, baada ya kumalizika kwa Swala ya Eid El-Fitr leo, Agosti 31.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mbona sherehe imepambwa na rangi za taifa kwani hii ni dini ya Taifa? Au hii ni sikukuu ya kiserikali?!
  <br />
  <br />
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Huyo mwarabu sio balozi wa waasi wa Libya aliyekataa kushusha bendera akijua serikali ya hapa ni legelege hawawezi mfanya kitu.!!

  Kashongo kati ya hao sijui ni yupi!

  Nimefurahishwa na picha za mwanzo zinaonesha tarehe ya mwaka 2010
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yaani picha za tarehe 9 Oct 2010, zinaletwa leo kuonyesha ndio sherehe za sikukuu ya Eid, uko Dar ES salaam Airport... Kulikoni jamani!?
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kuchanganya mambo huko.Na ndio maana matumizi ya serikali ni ngumu kuyadhibiti.
   
 16. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  laiti kama maadili ya mwezi mtukufu yangeweza kutekelezwa (kwa hiari) kwa miezi mitatu (3 months) tuuu...tungekuwa na dunia njema zaidi
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kazi imerejea mtaani.
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  unaonaeeee anatufanya sisi wadanganyika?
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bure kabisa huyo jamaa na mapicha yake ya zilipendwa.
   
 20. M

  Madaraka Amani Member

  #20
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Picha zimewaudhi watu makubwa haya.....................
   
Loading...