Picha za Idi hizi hapa, ni kufa mtu LOLZ

mr. Guiness ambaye ni costa siboka, akionesha uso wa tabasamu wakati akipelekeshwa puta na mnenguaji wa akudo, nadine esalaa (aliyeinama).
mshabiki wa akudo wakiserebuka.
waislamu duniani kote, jana walisherehekea sikukuu ya eid el fitr…
haya yote ni mawaa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom