Picha Za Afrika Mashariki Nyakati Zile

mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,777
6,454
Hapa zipo picha kadhaa, mnaweza changia pia.
 
Attachments

  • 161437_df1340208ab992c6ddd195e162fd82a7.jpg
    71.3 KB · Views: 38
  • 161438_58d49eccca9684e38cae75dd6fcb4c5f.jpg
    48.4 KB · Views: 29
  • 161436_ac1b5c08aa9db8818223be733d399d0b.jpg
    84.8 KB · Views: 27
  • 160026_b8e843575977dd0f773a7f914fac0886.jpg
    51.6 KB · Views: 27
  • 160086_b9e42bfb3ab2df484a265717cde4d1b7.jpg
    59.9 KB · Views: 26
Kukaa uchi ndio tamaduni yetu
Afu mi najiuliza sazee wa zamani walivumiliaje hivo vi dada kukaa hivo
 
Kukaa uchi ndio tamaduni yetu
Afu mi najiuliza sazee wa zamani walivumiliaje hivo vi dada kukaa hivo
walivumilia bila shida, ila nyie wa sasa mkikaa wanaume wenyewe tu hivyo bila nguo, mmoja bahati mbaya akaangusha fimbo yake kisha ainame mbele yenu aokote fimbo yake wote mnadinda mkiona tundu haja lake.
 
Mhhhh!!!!!
 
Hahahaha
 
Mungu kweli Anamakusudio yake. Kwenye picha hii hao watu wanne wa kulia ndio wamewahi kua maraisi wa Kenya
Hapo kuna Rais wa kwanza wa Jamhuri ya watu wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta akiwa amemshika mwanae ambaye ndiye Rais wa sasa wa Kenya

Kulia kwake kuna Mwai Kibaki ambaye alikua Rais wa Kenya kabda ya Uhuru

Nyuma Yake yupo Daniel Toroitich Arap Moi aliyekua Rais wa pili wa Kenya baada ya Mzee Kenyatta

Kumbe mambo haya kwa wenzetu yanapangwa, mtu hawi Rais kimchezomchezo au kubahatisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…