dorge
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 235
- 365
Kuna picha kadhaa zilizopo mitandaoni za huyu mtu. Je ni kwamba hafungamani za raia wa kawaida au, watu wanaogopa kupiga picha nae, au kuonekana popote.
Hii inashangaza kidogo, wakati mambo mengi yakiongelewa inaonekana ni kwa siri sana picha ikitokea katika tukio flani ama inaungwaungwa au inatumika moja akiwa amevaa kiji tai shingoni.
Je hata waandishi wa habari hawachukui matukio yake. Watoto wa viongozi wa juu wasio na mambo mengi kama wale wa Magu wengine walionekana late wakati mzee wao akiwa deceased tayari. Hata hivyo hawakuwa na matukio mwngi yaliyofanya watu wawatafute.
Upende huu inaonekana matukio yanalazimisha aonekane, bali picha zinaungwa ungwa. Shida iko wapi?