Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo
Jamani waafrika nani aliye tuloga?
Toeni wivu wa kishamba...
Kwahiyo watu wasifanye yao kisa kuna wenye njaa?
Inawezekana uvivu wako ndo mtaji wa mwenzio.
Hi ndo Tanzania yetu pendwa siku zinavozidi kwenda ndo hali ngumu ya maisha na umaskini unazidi kuongezeka