Picha yenye kufikirisha mno

Picha yenye kufikirisha mno

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,661
Reaction score
830,540
1406606755721.jpg
 
Maji ya visima kijijina ni salama kwani hakuna uchafuzi wa mazingira kama mijini...
 
...so innocent,wakati kuna lijitu limetumia milioni kumi kununua kochi tu za sebuleni...! inauma sana...
 
...so innocent,wakati kuna lijitu limetumia milioni kumi kununua kochi tu za sebuleni...! inauma sana...

Au ameenda kutembelea hilo eneo akiwa ndani ya VX V8
 
hii inadhihirisha umaskini upo kwa kiwango kikubwa tu na kupelekea baadhi ya huduma muhimu kukosekana. ila cha kushangaza kwa wale waliopo kwenye nafasi ambao huduma muhimu kwao si tatizo wanawasahau wenzao. pia wale wajanja ambao wanaweza kupata mahitaji muhimu kwa njia yoyote nao huwa wanawasahau wenzao. ndiyo maana kwa mfano hata sukari ifike kilo elfu kumi hutaona watu wakichukua hatua
 
Au kapiga ela ya escow na epa...ili aitumie kwenye uchaguz kushinda ktk kata hii alipo mtoto huyu.
 
...so innocent,wakati kuna lijitu limetumia milioni kumi kununua kochi tu za sebuleni...! Inauma sana...

kuna watu wamepaki ravi sebulen chezeya jeuri ya pesa weye??
 
ukifika uchaguzi mbunge wao anawahonga pilau na juisi kola kama tibaijuka na mwakyembe,wabunge tz wana roho mbaya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom