Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326
WIZARA ya utalii, inabidi itoe TENDER ( CONTENT CREATOR), kutumia mawe kupublish, kumbukumbu mbalimbali...kwa kutumia michoro na picha kwenye hayo mawe
Tanzania tumejaaliwa mandhari nzuri na za kuvutia mno. Tatizo ni wanasiasa wenye madaraka kuhisi wana haki zaidi ya wengine juu ya vizuri vya asili ya nchi.
Kesho utasikia eneo lote la majabali ni mali ya mwekezaji na wakazi wa maeneo hayo ni wavamizi.