Unamuuliza nini tena marehemu?! ameshafariki ametangulia mbele za haki!
Raha ya milele uumpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. AMINA
Shenz type! Umefanya niingie kwenye uzi huu na unavohuzunisha bana. Kuwa na heshima, alikuwa dada ya watu Dena Amsi, R.I.P. Sasa pumba uloandika hapo juu ni ya nini? Sokwe mkubwa wewe!