Picha yangu ya leo..............

duh !! kweli soo, hapo pindi anatakuwa anamuona bi kudude kacheza kama pele vile, ila sidhani kama wamesolve msala
 
Kama kweli vile! Ila ni kwa muda tu. Dose ya Zitto iko pale pale lazima wainywe!
 
PM sasa anaweza hata kuhema sasa na kiti kinakalika, Weekend yake ilikuwa mbaya sana!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…