Picha yangu ya leo ni hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
attachment.php



Mkazi huyu wa jiji alinaswa na kamera yetu mchana huu akiwa amedandia baiskeli ya gurudumu tatu (guta) iliyosheheni mzigo mkubwa, jambo linalohatarisha usalama wake.
pencil.png
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    31.1 KB · Views: 210
Huyo hajadandia, inawezekana wako ni konda wa hilo guta anasaidia kusukuma mlimani, au ni mwenye mali anasindikiza mzigo sokoni!
 
Back
Top Bottom