Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Apr 1, 2010 #21 Watu wakikaa sana pamoja wanafanana, hii ndoa nadhani ilikuwa ya kukamilisha.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Apr 1, 2010 Thread starter #22 Hawa wanaweza kuzaa kiumbe kutoka sayari ya mars
M mnyakyusa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2010 Posts 248 Reaction score 40 Apr 1, 2010 #23 Duh hii kali nakumbuka wale jamaa MADINKA kule SUDAN ya Kusin
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,362 Reaction score 4,938 Apr 1, 2010 #24 Bujibuji said: Hawa wanaweza kuzaa kiumbe kutoka sayari ya mars Click to expand... Jamaa yangu kweli wewe una kipaji cha kupiga majungu.
Bujibuji said: Hawa wanaweza kuzaa kiumbe kutoka sayari ya mars Click to expand... Jamaa yangu kweli wewe una kipaji cha kupiga majungu.
M MpendaTz JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 2,231 Reaction score 937 Apr 1, 2010 #25 Nimeipenda hii! Asante
M MzeePunch JF-Expert Member Joined Jun 8, 2009 Posts 1,412 Reaction score 210 Apr 1, 2010 #26 Ha ha ha haaa.
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,678 Reaction score 1,279 Apr 1, 2010 #27 Bujibuji said: View attachment 9256 mimi na mama watoto wangu tukiwa tumependeza. Mmeona bi mkubwa alivyopendeza na miwani yake? Click to expand... Eee bwana mi nakapendaga kale kabinti kenu ka mwanzoo,yaani mwee natamanigi kulia jinsi kanavyonoga!!!
Bujibuji said: View attachment 9256 mimi na mama watoto wangu tukiwa tumependeza. Mmeona bi mkubwa alivyopendeza na miwani yake? Click to expand... Eee bwana mi nakapendaga kale kabinti kenu ka mwanzoo,yaani mwee natamanigi kulia jinsi kanavyonoga!!!
KOMBESANA JF-Expert Member Joined Jun 18, 2009 Posts 920 Reaction score 214 Apr 8, 2010 #28 Jamani forum inatakiwa kufurahisha pia lakini hapa mmepitiliza!
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Apr 8, 2010 #29 Mmependeza sana kwa kweli.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Apr 8, 2010 #30 We bujibuji umeanza tena? halafu hawa jamaa me na ke mbona kama ndugu? Anyways natumaini mtatengeneza familia yenye furaha!
We bujibuji umeanza tena? halafu hawa jamaa me na ke mbona kama ndugu? Anyways natumaini mtatengeneza familia yenye furaha!
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Apr 9, 2010 #31 Ama kweli hujafa hujaumbika
S SAS Member Joined Dec 23, 2007 Posts 21 Reaction score 0 Apr 9, 2010 #32 Umependeza Babu sijui ilikuwa mwaka gani