Picha yangu ya harusi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
MIDUDE.jpg
mimi na mama watoto wangu tukiwa tumependeza.
Mmeona bi mkubwa alivyopendeza na miwani yake?
 
Bro & sister nini mboni kufafana hivyo?bha!..

Ama Kumbe hapa familia yako Buji yote:

 
Kama wamefunga ndoa hii kanisani, Basi Mungu aonaye sirini na awabariki na kuwajazi!
Tazama, wote wameumbwa kwa sura na mfano wake!
 
Mbona utadhani mtu na dadake...'yaani wamefanana ile mmbaya'!
 
Ama,... Kumbe hapa familia yako yote Buji bana??: Hapa face pasi shaka ulitoka kwa shoe shiner!. Mng'aro wa KIWI!

 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom