Tunaishi kwa hisani ya wazungu, bila wao hawa unaowapigia kura wangetumaliza kwa utekaji, mauaji, njaa na maradhi.
Marekani imejitoa WHO sasa utaona kama dawa za kupoza ukimwi na kifua kikuu zitapatikana. Kuna wakati watanzania wote tulilishwa na wamarekani na shule zote zililishwa na wamarekani.