Picha ya ufunguzi 2017; Busara za mzee Lowassa

mzee naweza sema ni mwana siasa bora pekee aliye baki ..
 
Huwa najiuliza tu. Isingekuwa kashfa za ufisadi huyu mzee si ajabu kwa sasa angekuwa Magogoni. Ufisadi nimeamini ni mojawapo ya dhambi mbaya kabisa duniani haijalishi kama umesingiziwa ama la. Ni kati ya zile dhambi ambazo Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa ukishaitenda basi itaendelea kukutafuna tu!

Kwa hali inavyoendelea naamini itafika mahali jamii itamsamehe. Tuombe uzima sote tufike 2020 tuone itakavyokuwa!
 
Ukimuangalia vizuri utaona ana meno mithili ya Dracula.
 
Hakuna kiongozi aliye msafi kwa Tanzania yetu kila kiongozi ana mapungufu yake ndio maana akaitwa binadamu.
 
Hakuna kiongozi aliye msafi kwa Tanzania yetu kila kiongozi ana mapungufu yake ndio maana akaitwa binadamu.
Katika muktadha wa kibinadamu inapaswa kuwa hivyo. Siasa hata hivyo hazina ustaarabu kiasi hicho ndo maana zikaitwa mchezo mchafu. Na wanasiasa wanalijua hili! Imagine hata hawa walivyokuwa maswahiba mpaka wakapanga kuachiana madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…