picha ya sojya mtoto inaongea yenyewe

picha ya sojya mtoto inaongea yenyewe

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,843
Reaction score
63,351
peter kapinga
peterafande3.jpg

Novemba 26, 2011 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama Amiri Jeshi Mkuu aliwatunuku Kamisheni wanachuo wa Chuo cha kijeshi cha Monduli Mkoani Arusha.mia​
 
Hayo magwanda yamemvaa badala yeye ayavae, naona bado mapororo hayajachanganya, atanenepa tu
 
Hayo magwanda yamemvaa badala yeye ayavae, naona bado mapororo hayajachanganya, atanenepa tu

umeonaaa eeeh ngoja akae kwenye site zimpitie huyo anasahau uadilifu wote aliojifunza yani......!!!!
 
ni he au she maana nachanganya sana mimi..:embarassed2:
 
du! hadi aje azeeke atakuwa amefisadi sana taifa hili, usikute ndo mwamunyange wa 2050.
 
ni ukweli magwanda yamemvaa ofisa wetu..
 
Back
Top Bottom