englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
At Atlantis, The Palm, well-heeled holidaymakers can retreat to the privacy of their own suite, with thrilling aquarium views
Sasa hapa, kama hivyo vioo vikipasuka na hao papa wakiingia chumbani si uroda utakuwa umekwisha.

Mkuu hayo makitu hayatengenezwi simple hivyo...
Hahaaa!, umenichekesha mkuu na umewaza kama mimi!, lakini hao sidhani kama ni papa...lol!
Mmmm, lakini mimi kiroho kitakuwa kinadunda tu. Pengine hata maboz nikashindwa usiku huo.
Hapa wale simba na chui kutoka hapo mwituni, au hata nyumbu tu, wakipita hapa si ndio itakuwa tamati ya hiyo honeymoon yenu?
Wow pazuri sana
......mno!
Hahahahah tuweke mahela kwenye kibubu lol yakijaa twende shostito

Mdekee mzee kidogo wewe!!! kui pia
Mwambie kuwa siku hizi wala hujisikii kupika yale mahanjulmati anayoyapenda. Kuwa unajisikia kuchoka na unahisi kama mkienda vacation kwenye hoteli yenye vyumba chini ya bahari pengine itasaidia.
Mzee atatahuriki (kukosa mapishi yako mazuri - haiwezekani) na kabla hujajua kilichotokea utakuwa hapo ATLANTIS - The Palm.
Nasubiri shukrani zako kwangu ukirudi vacation.