Picha ya siku!

Picha ya siku!

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
900
Reaction score
318
Wakati wenzetu wanafanya haya sisi huku Africa tumelala,watia nia wanakuja na sera legelege!!
 

Attachments

  • 1435901138460.jpg
    1435901138460.jpg
    49.9 KB · Views: 2,133
Naenda kwa fundi waya nkatengeneze taa za gari langu
 
Hawa ndiyo wale wakereketwa wa CCM wasiopenda mabadiriko, kwao kila kitu ni uwongo ila wameridhika kwa kunyonywa kwa kujitakia huku wachache wakifurahi kwa sanifu. Hapa inaonekana kama vile ni China kwani kule kuna barabara nyingi zilizopita milimani kama hii.

Mtu akiniambia ni photoshop nitakuwa wa mwisho kuamini, wenzetu wameendelea huku tumezoea kusikia ahadi za kujengewa mitaro tu.
 
Haya mambo hayawezekani katika mifumo ya maisha ya kiafrika,yenye watu waliodumazwa akili na Tawala za kijinga jinga. Sisi wenzetu ni wale manyani na masokwe.Tunawazidi kidogo tu kwa kuwa hatuparamii miti.Mambo mengi tunafanana.
 
Back
Top Bottom