Picha ya siku

Picha ya siku

Hahahaaaaaaa Jamaa analindwa na mabodigadi kibao lakini wameshindwa kumuokoa asidondoke. Hata hivyo nalifagilia hili jembe
 



Nikiangalia hii picha nasikia kichefuchefu-wanausalama wa aina gani hawa-wako zaidi ya Tano na hakuna aliyechukua hatua na body sign yao inazungumza kitu tofauti kabisa.



Alafu unawaona kwenye next picture kama hapa chini eti wanajifanya kushangaa-whta a nonense!
Isopokuwa Ofisa wa Usalama aliyeko nyuma ya Rais-hata body sign yake iko tofauti anayeshuka toka kwenye Jukwaa.
Wengine hapo chini kuna agenda isiyosahihi
!

2555C1D700000578-0-image-a-15_1423081838258.jpg
 
Kwa kweli huyu ni jembe.....Ndio Simba wa Africa aliyebakia...Akiondoka hatuna tena wengine woote wanafiki





Hahahaaaaaaa Jamaa analindwa na mabodigadi kibao lakini wameshindwa kumuokoa asidondoke. Hata hivyo nalifagilia hili jembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom