picha ya siku

picha ya siku

Wapo kwenye gwaride wanatoa heshima kushoto. Angalia miguu na mikia vinaenda sawa. Huyo dogo amekosea
 
Ole wako umzingue huyo dogo, hamna rangi utaacha ona.
 
Kaka na dada wanamtembeza mdogo wao kumwonesha mama yao alikoenda kuwinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom