Picha ya siku


Rais wa Uruguay, Jose Mujica akiwa akiwa kwenye foleni akisubiri kumwona daktari kwenye hospitali ya umma.

Nasikia Kwamba Kumbe Walimwambia Asubiri Hapo Kwanza ILI Wamshughulikie Mtukutu Luis Suarez Ambaye Yumo Humo Ndani Hospitalini Akiwa Na Kipande Cha Nyama Alichomng'ata Yule Beki Huku Jino Lake Likiwa Limelegea.:smile-big:
 

Rais wa Uruguay, Jose Mujica akiwa akiwa kwenye foleni akisubiri kumwona daktari kwenye hospitali ya umma.
big up sana,jamaa anamengi sana anayafanya bila kutumia cheo cha urais,
 
Huyu anajua kwamba kuongoza ni kutumikia na sio kujitajirisha!
 
Mujica hakutaka kuwa RAIS wa URUGUAY ili aende kuwaibia wananchi na nchi yake kama wanavyofanya hawa mahayawani!! Urais kwa MUJICA ni utumishi na wala sio ufalme!!
 
TZ sijui kama itakuja tokea

Tanzani hii ni ndoto ambayo haitakuja tokea, kwasababu watawala na viongozi wapo pale kwa maslahi yao na familia zao. Leo hii waziri wa Elimu Kawambwa anasomesha watoto wake Canada , je unafikiri atakuwa na ari ya kuboresha elimu ya watoto wa sie walala hoi? Kikwete hata sina hakika kama anelewa athari za mawaziri kutokuwa mfano katika wizara wanazoziongoza!!
 
jk awampoei coz anaendaga kwake, mtu ana nyumba huko wampokee wa nn ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…