englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Have you climbed it?
Can you name this volcano that can be found near Lake Natron in Tanzania? Have you climbed it?![]()
Pasafi
Asante kwa somoHuo usafi unaouona kama weupe weupe ni lava ambayo imeganda baada ya kuwa imepoa, ambayo nadhani ukiikuta wakati inalipuka halafu ukafanikiwa kuiwekea chuma, sina shaka sana kama huwezi kupata unga/majivu kutokana na joto litakalokuwepo pale