Never give upMungu ni Mwema
Akiweka mkono wake hakuna lisilowezekana daima.
Alijua tayari mda wake umeisha kumbe bado sana
Kweli kabisa mkuu utafiti,ukimtumaini Mungu,never give up!Nimejikuta naanza kuimba ule wimbo wa "Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni,,,,,,,,,,"
Hahaha mkuu hadi mbavu zikamuuma? Duh
Ujumbe mzuri. Mbona sioni reflection ya Eagle kwenye maji.
Mimi nimekumbuka "food chain" kwenye biology enzi za secondary.Nimependa huo ujumbe....
Kweli kabisa mkuu mleta mada, sababu sisi binaadamu hatuelewi nini kitakachotokea hata baada ya sekunde kadhaa zijazo
Hii inatufundisha kuwa lolote linaweza kutokea muda wowote, iwe la kheri au shari
Muhimu tukubali, na tuamini kuwa Mungu yupo
Mkuu maujumbe yako huwa yananigusa sana
:A S-coffee: