picha ya siku

Eneo hili linanikumbusha miaka ya tisini lile sakata la kuhamisha soko lilivyoacha sarakasi kwa wafanyabiashara. Ni moja ya mambo ambayo CDA wanajivunia kulinda open spaces and urban planning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…