picha ya siku

picha ya siku

yes maana nilikuwa najiuliza, naona kuna magari upande wa kulia yakielekea kushoto wakati naona ni km mwisho wa hiyo barabara..haya, nikiangalia kulia naona kuna gari linatokea mwanzo wa barabara ambako kunaonekana nako ni mwisho wa barabara..ndio nikahisi labda yanapitia chini ya maji ambako labda barabara hiyo inaendelea kuunganisha kulia na kushoto...ila kiukweli km iko hivyo, imejengwa vizuri sana!
jamiif hauwezi kua mshamba kwa jinsi ulivyodadavua hapo.
Ni kweli hizo kuta za orange zinaonyesha trench imechimbwa kwa kuelekea chini ya aridhi.
 
hii sijaielewa..ina maana hizo gari zinazotokea huko upande wa kulia ndio zinapita chini ya maji ili kutokezea huko kushoto au? nielewesheni wakuu mi mshamba..
Kuna tunnel chini ya maji mkuu...
 
1233465_1388690914692629_1167996511_n.jpg
Hili jengo mbona kama linaelea hewani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom