<br />Majina ya hawa jamaa hatuwezi kuyapata kwa ajili ya kumbu kumbu ha ha ha ha
walioruhusiwa kugusa gari ni makamishna na wasaidizi wao tu.kwa hiyo hapo ni masters na barchelor tu zinasukuma gari
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno

<br />Kale kataa ka juu kwenye mlango wa nyuma kakiwaka si huwa gari imefunga brake au inafunga brake? Sasa hawa jamaa si wanaumia kusukuma gari inayosimama? Au ndio wameifikisha lakini wanaonekana bado kutafuna energy yao!!!!!!!!!
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno
Huyu wa nne kutoka kushoto hajavaa soksi au amevaa sandals au labda naona vibaya
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno
Nimeipenda sana hii!!!
Wanasukuma gari wakati dereva kakanyaga breki, Kweli miafrika ndivyo ilivyo
Kila mtoto aangalie kama baba yake ni mmojawapo wa wanaosukuma hii gari then baba akirudi nyumbani amwulize kama kweli ndiye aliyethubutu kuidhalilisha familia mbele ya kadamnasi namna hii. Hii aibu ni kubwa kuliko kufumaniwa.