Picha ya Siku

Picha ya Siku

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
418
Reaction score
619
IMG-20180308-WA0003-1.jpg

Happy Women's Day
 
ila wanawake wanapenda sifa sometimes ili waonekane wao bora kwa watoto kuliko sisi wanaume

Ndo maana mi hata km nikirud na zawad ya pipi nyumban Nampa mwenyewe mtt

Mama hakawii kubadili Gia angani kusema amenunua yeye

Happy women day especially my mama
 
Kibaiolojia iko hivyo. Watoto wanakuwa karibu sana na mama kipindi cha utotoni ila wakikua wanajielewa na kutambua nafasi ya baba katika maisha yao. Watoto wa kike ndio uwa wanabaki kuwa karibu na mama maisha yote kijinsia ila wakiume ujifunza kwa baba. Ukitaka kujua kuwa hiyo ni asili tazama documentary za maisha ya simba. Simba dume mtoto ulelewa na mama mpaka pale atakapokuwa tayari na kujitafutia anahamia chini ya utawala wa baba na kujiunga nae. Nature
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom