Picha ya siku

Vijana wa Chadema.. Naona uwezo wa kufikiria unashuka chini tu.. Dr Slaa njoo uokoe Chama
 
Kanyweaa utadhan kafumaniwa aiseee...

Avumae baharini papa na kumbe wengine wapooo

Viva viva tundu lissu in accompany with mange kimambi... Tuwekeen watu kwenye mstari ulionyooka.
 
Hvi kuna ushahidi wa bashite kuhusika na hili ? ,sawa jamaa ana dhambi zake ila hili msimuhusishe bila facts
Hili ni tatizo kubwa kwa hawa ndugu zetu ukiwaita NYUMBU wanakasirika huwezi muhusisha mtu na tukio Fulani bila ushahidi,ndio hizi siasa za Maji taka zisizotakiwa ila tumuombee TL atengemae na ile ndoto waiotayo wengine ya urais atangaze nia hawahawa NYUMBU watakuja humu kusema bora nanilii angeenda tu na kejeli kibao.
 
Mungu akisema hapana hakuna wa kusema ndiyo na akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana!
Kuna kila dalili kuwa Mungu amesema HAPANA kwa kifo cha Lisu! Japo ilitumika nguvu kubwa (risasi zaidi ya 30) kujaribu kutoa uhai wake lakini Leo bado yuko hai na anaonyesha USO wa furaha bila shaka kuliko ule wa wauaji wake!
Wakijaribu kulazimisha kutoa uhai wake kwa jaribio jingine, wajiandae kupambana na mkono wa Mungu, maana si haki kwa MTU kulipiza kisasi lakini ni haki kwa Mungu kulipizia kisasi wanaoonewa hadi kizazi cha tatu kwa waovu! Ni heri wahusika ("wasiojulikana") wakamwogopa Mungu! Waswahili husema kutenda kosa si kosa lakini kurudia kosa ni KOSA KUBWA!
Kwa jamii ya watanzania, naomba tukubali kusamehe yaliyotokea (maana tusiposamehe haitusaidii) na tumwachie Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…