Picha ya Siku

Kuliko kuwakabidhi wanasiasa ufunguo wa maisha yako ni bora ukabali kitasa
 
Huu ndiyo wakati upinzani ulikuwa upinzani, rais aliitwa dhaifu na wakikutana wanasalimiana kwa kushikana mikono na tabasamu
 
Tena wapinzani wakimtukana sana na kuandaa maandamani ndio kwanza kikwete atawaita ikulu kunywa nao juice yaanj Mungu anisamehe kwa yote niliyomtukana kikwete sasa tunakomeshwa na huyu mwehu
 
Kikwete ni kiongozi sasa unapopata wachunga ngo'mbe kuongoza raia ni ngumu kidogo
 
Hivi mnataka kusema serikali na wapinzani ni maadui kama tunavyoona mivutano ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…