Picha ya siku

alitakiwa bia nayo atundike ukutani ije kwa mrija, kisha awe na rimoti ya kubonyezea rimoti 😀😀
 
Haishauriwi kuweka mkaa ndani ya nyumba maana mkaa unarelease carbon monoxide ambayo uki-inhale inaenda kuungana na.blood haemoglobin na kutengeneza compound inayoiyltwa carboxhaemoglobin inayozuia transportation of oxygen gas na unaweza kujikuta umekauka ghafla ukafa
 
Ndicho kilikuwa kichwani mwangu hiki,nikitafakari ila nikajiridhisha kuwa kishalewa huyu haelewi kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…