Picha ya siku

Hahahahaha ngoja nicheke kwanza



Swissme
 
Kuna manyumbu flani huwezi kuwaona wakichangia humu.
 
Kweli ccm imeleta majanga makuu nchi hii, mwe! namwona mzee wa 'kugawa' raslimali za nchi.
 
Siku CCM ikiondoka madarakani ndipo watanzania tutaanza kufaidi matunda ya utaifa wetu.
 
1995-2005 Tanzania ya ubinafsishaji
2015-2020 Tanzania ya viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…