Picha ya Siku

Hii familia imepanda sana juu "haya ndiyo mangongoti aliyoimba Diamond na Ray kwenye wimbo wa salome"
 
Na hachelewi kukaa kwenye kochi sebuleni na baba hata wageni.Obama angekuwa kakulia huku peramiho sijui kama angeacha hata kukaparaza kidogo.
 
Ushua umembeba ni mzuri wa kawaida ...yule mdogo ake ndo atari
 
Reactions: SDG
Hata mh alimpigia simu mwanafa akadokeza na mistari Nihonge nanunua nini ina tv ndani? Hata huyu kawaida sana tofauti ni kuwa ni mtoto wa aliyepata kuwa rais basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…