ng'ombo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 418
- 619
Binafsi naamini hakuna kama Baba , Baba ni:
1. Mzazi
2. Mlezi
3. Rafiki wa karibu
4. Msiri wako
5. Msaada wako wa karibu
6. Mfariji
7. Mtafutaji
8. Mlinzi wa familia
9. Jembe au nguzo ya familia
10. Kichwa cha nyumba.
Nani kama Baba?? Hakuna kama Baba ndiyo maana hata MUNGU tuna muita Baba
Baba ni nani kwako??
Nnawatakia Weekend Njema.