Nyakati za nuhu watu walikula na kunywa, walioa nakuolewa, walilima na kupanda,
Maisha yaliendelea kama kawaida
Lakini ilipofika wakati Wa gharika....
Unajua kilichotokea
Hata leo watu wanaoa na kuolewa, na maisha yanaendelea, lakini nani aijuae siku ya kurudi Kwa Yesu?