Picha ya siku ya Rais Dk. Magufuli

Siku zote angekuwa hivi angependezea sana lakini kwa sasa anakunywa maji sana kawa tofauti na uhalisia
 
Rais wetu ni mtu mwema sana na anayodhamira ya zati kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uchumi wa chini hadi wa kati ni suala la mda tu
 
Mwenyezi Mungu amwongoze daima kutimiza kusudi hili jema kwa watanzania
 
Rais wetu ni mtu mwema sana na anayodhamira ya zati kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uchumi wa chini hadi wa kati ni suala la mda tu
Ndio hatujakataa anafanya kazi nzuri sana tena mno hapa tunaongelea muonekano wa picha hatuongelei utendaji kazi wake wala tabia
 
Hapo ni kipindi hicho wakati alikuwa ni mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…