Picha ya Siku ya Mrisho Kikwete

Picha ya Siku ya Mrisho Kikwete

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
418
Reaction score
619
Screenshot_2017-05-01-15-43-20-1.png

Mheshimiwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mzee Kikwete akiwa amepumzika nyumbani kwake.
 
Aisee Anatia huruma wangempa na yeye angalao kaubunge kakuteuliwa ili awe Karibu na mama salma
 
Mbona nyumba mdogo sana!Vitu vimebanana kiasi hicho?Au yuko kwa nyumba mdogo maana hawa wazee wasikie tu,hili la mama Salma kuteuliwa ubunge,kwa mheshimiwa ni bonge la gap,hana stress hapo hata kidogo!
Mkuu ingekuwa nyumba ndogo hapo lazima ungeona mapochopocho, wazee wa pwani wanapenda sana mapochopocho
 
Mbona nyumba mdogo sana!Vitu vimebanana kiasi hicho?Au yuko kwa nyumba mdogo maana hawa wazee wasikie tu,hili la mama Salma kuteuliwa ubunge,kwa mheshimiwa ni bonge la gap,hana stress hapo hata kidogo!
Teh teh teh. Ebwahahahahaha. Nimecheka kwa sauti.
 
Mbona nyumba mdogo sana!Vitu vimebanana kiasi hicho?Au yuko kwa nyumba mdogo maana hawa wazee wasikie tu,hili la mama Salma kuteuliwa ubunge,kwa mheshimiwa ni bonge la gap,hana stress hapo hata kidogo!
Kweli nami nlitaka niseme hilo la nyumba kubanana, uzuri wa nyumba space! Ila hilo la gape la mama salma nimecheka saanaa.....ictoshe alimuombea kwa sizonje ili yy abaki free!
 
Back
Top Bottom