Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Sindano![emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo sindano ukienda vibaya zinaweza kukuchoma mkuu!Asubuhi yote hii tena sabato!!
Acha basi
HahahahaNaona yamevaa vile vikofia vya bethidei wanavyovaa watoto.
Mbona wewe kuna kipindi ibada yako ilikuwa ni Miss Natafuta na tulitulia,wewe unashindwa kutulia nini mkuu??!Ndio ibada hiyo?
Jiandae kupimwa haja kubwa. Uchochezi huoDuuuuuhhhhhhhh,ndyo maana kuna wazir alihonga nyumba za serikali kwenye utawala fulani!