Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
"Lahaula nimetajwa tena??"
hii sura inamnyima usingizi sana Magu na Majizi-CCMLissu naye hakuwa mbali
We jamaa mbaya hapo ni canteen ya bunge umempiga picha ngeleja bila ridhaa yake
Kibaraka katoa macho kama SwiraLissu naye hakuwa mbali
Kibaraka katoa macho kama Swira
Picha zote si za leo hizo ni za siku nyingi...Lissu naye hakuwa mbali