englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwa katika mazungumzo ya kina na muuza maji wa jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Said.
So What?
DUUUpole sana hata lugha ya picha hujui rudi class.So What?
DUUUpole sana hata lugha ya picha hujui rudi class.
argument yako hapo juu nimeshapata picha nina argue na mtu wa level ipi I can not argue with a person who fail to understand even basic things.Kwa Akili Zangu Zilizo Juu Sana Sijaona Logic Ya Ulichokiandika Na Ndiyo Maana Nimekushangaa Na Kukurupuka Kwako Kujibu Ndiyo Kumenidhihirishia Uwezo Wako Wa IQ Jinsi Ulivyo Pentium Zero. So What Lilikuwa Ni Swali Nililotaka Tu Unijibu Kiuchambuzi Ila Nashukuru Kwa Kunijibu Ki BRN.
argument yako hapo juu nimeshapata picha nina argue na mtu wa level ipi I can not argue with a person who fail to understand even basic things.
Anataka atuoneshe jinsi CCM ilivyo jirani na wananchi
mbona hicho chako huandiki?sio lazima kila topic ucomment mambo mengine kama hujui achia greater thinker tuyajadili mambo yetu nyie washule za kata nendeni huko facebook ukikomaa utaruhusiwa kurudi huku.Waliojifunza Viingereza Vya Ukumbini Huku Wakibashiwa Utawajua Tu. Wewe Usipoteze Calories Zako Bure Na Mimi Kwani Bado Hujafikia Uwezo Wa Kuweka Ligi Na Mimi Na Nakuona Kama Maji Ya Chooni Niyatumiayo Kuchambia! au Unatafutia Kiki Kwangu Kama Watu Wa Mawingu Studio Mikocheni? Andika Tu Kwa Kiswahili Na Utaeleweka Na Siyo Kiingereza Chako Hiki Cha Kudokoa Na Cha Kwa Macheni Migomigo.
mbona hicho chako huandiki?sio lazima kila topic ucomment mambo mengine kama hujui achia greater thinkers tuyajadili mambo yetu nyie washule za kata nendeni huko facebook ukikomaa utaruhusiwa kurudi huku.Waliojifunza Viingereza Vya Ukumbini Huku Wakibashiwa Utawajua Tu. Wewe Usipoteze Calories Zako Bure Na Mimi Kwani Bado Hujafikia Uwezo Wa Kuweka Ligi Na Mimi Na Nakuona Kama Maji Ya Chooni Niyatumiayo Kuchambia! au Unatafutia Kiki Kwangu Kama Watu Wa Mawingu Studio Mikocheni? Andika Tu Kwa Kiswahili Na Utaeleweka Na Siyo Kiingereza Chako Hiki Cha Kudokoa Na Cha Kwa Macheni Migomigo.
Anataka atuoneshe jinsi CCM ilivyo jirani na wananchi
argument yako hapo juu nimeshapata picha nina argue na mtu wa level ipi I can not argue with a person who fail to understand even basic things.
upeo wako mdogo huoni cha kujifunza hili jukwaa la great thinkers ambao wana tools of analysis vichwani mwao.Huu ni upuuzi uliyoweka hapa unataka kutufundisha nn juu ya hii picha mliyopanga upige kisha mlete hapa jf?
mbona hicho chako huandiki?sio lazima kila topic ucomment mambo mengine kama hujui achia greater thinker tuyajadili mambo yetu nyie washule za kata nendeni huko facebook ukikomaa utaruhusiwa kurudi huku.
mbona hicho chako huandiki?sio lazima kila topic ucomment mambo mengine kama hujui achia greater thinkers tuyajadili mambo yetu nyie washule za kata nendeni huko facebook ukikomaa utaruhusiwa kurudi huku.