Picha ya Siku: Hii ndio Dar es salaam, fahari ya watanzania

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
739
484
Dar es salaam
12376322_475650519291067_8177000745716745522_n.jpg

934717_475650512624401_3899755325517856821_n.jpg

12115813_475650509291068_7055397900407177773_n.jpg

12140684_475650545957731_8598137355169278161_n.jpg

Bandari Salama
 
Mommh! Sijui, ila Mimi ni popo mzuri Sana sijawahi kutana na mandhari nzuri hivyo! Yaani kwa wiki naweza kurudi home saa Tisa hata Mara 3 kwa week, na maeneo ninayopita Ndio hayo hayo ! Umenimaliza na huo mtaa wa posta mpya! Sijawahi ona barabara ikiwaka hivyo, na zaidi hapo Mbele Kama unakaribia maktaba ya taifa hamna Kona ya hivyo!
 
Nenda High Spirit usiku utaona view nzuri zaidi ya hio
 
Yani kuna mademu wengine ukionana nae usiku unakataa kama ukiambiwa ndiye yule aliyekua akifua nguo asubuhi pale Buguruni kwa Malapa, sasa ni sawa na hii ya jiji la Dar. Maana inavutia hatari, sasa nenda mchana lol....
 
Ikifika usiku anakuwa mzungu au mchina mkuu?
 
Mommh! Sijui, ila Mimi ni popo mzuri Sana sijawahi kutana na mandhari nzuri hivyo! Yaani kwa wiki naweza kurudi home saa Tisa hata Mara 3 kwa week, na maeneo ninayopita Ndio hayo hayo ! Umenimaliza na huo mtaa wa posta mpya! Sijawahi ona barabara ikiwaka hivyo, na zaidi hapo Mbele Kama unakaribia maktaba ya taifa hamna Kona ya hivyo!
Wewe huwa unapita chini. Hii picha ni oblique. Kama umewahi kuangalia ukiwa kwenye ndege ndo ungeleta ubishi mzuri.

ONYO: HATA MIMI SIZIAMINI HIZI PICHA.
 
Kwa Ndege nilishaoziona Sana I'll kwa bahati mbaya Sana Mara zote ilikua mchana! Usiku sijawahi! Ngoja niandae mazingira ya kuingia Dar usiku.
 
Mommh! Sijui, ila Mimi ni popo mzuri Sana sijawahi kutana na mandhari nzuri hivyo! Yaani kwa wiki naweza kurudi home saa Tisa hata Mara 3 kwa week, na maeneo ninayopita Ndio hayo hayo ! Umenimaliza na huo mtaa wa posta mpya! Sijawahi ona barabara ikiwaka hivyo, na zaidi hapo Mbele Kama unakaribia maktaba ya taifa hamna Kona ya hivyo!

Editing hiyo mkuu.
 
Back
Top Bottom