![]()
Gari la polisi limeligonga na kulikanyaga gari la mtu binafsi katika barabara ya Valley Road jijini Nairobi.
Chanzo : ma3 route national police
![]()
Gari la polisi limeligonga na kulikanyaga gari la mtu binafsi katika barabara ya Valley Road jijini Nairobi.
Chanzo : ma3 route national police
umejuaje kama hapo ni kulia? nadhani polisi ndio amekoseaMkuu kama hii ni two way, hilo Benzi la raia ndilo lenye makosa. Kumbuka Kenya wanaendesha magari upande wa kushoto, sasa iweje hoyo mwenye Benz katoka kabisa upande wake? Hapo ni gari la raia lagonga gari la polisi.
umejuaje kama hapo ni kulia? nadhani polisi ndio amekosea