Picha ya siku: Gari la polisi laligonga gari binafsi Nairobi

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
b17f1907241664b521866179ee273002.jpg

Gari la polisi limeligonga na kulikanyaga gari la mtu binafsi katika barabara ya Valley Road jijini Nairobi.

Chanzo : ma3 route national police
 
Nina wasiwasi ukiwa polisi unakuwa na mentality za ubabe wa kishetani.
 
Hilo gari la polisi litakuwa na mafunzo ya kijeshi maana huko sio kugongana kwa kawaida
 
Ungeandika....gari la police la likanyaga gari la raia nchini Kenya....maake hapo ni full kukanyagana
 
nahisi ni yule mchungaji aliyeimbwa kuchukuliwa mkewe anapoondoka
 
b17f1907241664b521866179ee273002.jpg

Gari la polisi limeligonga na kulikanyaga gari la mtu binafsi katika barabara ya Valley Road jijini Nairobi.

Chanzo : ma3 route national police

Mkuu kama hii ni two way, hilo Benzi la raia ndilo lenye makosa. Kumbuka Kenya wanaendesha magari upande wa kushoto, sasa iweje hoyo mwenye Benz katoka kabisa upande wake? Hapo ni gari la raia lagonga gari la polisi.
 
umejuaje kama hapo ni kulia? nadhani polisi ndio amekosea
 
Back
Top Bottom