Picha ya siku.. Free Ride

Picha ya siku.. Free Ride

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
AAdpilp.img

Wauza mkaa na ndizi mjini Bugarama nchini Burundi wakiwa wanarudi makwao baada ya biashara...husafiri mwendo wa 45km kwa style hiyo
 
usiombe hiyo 40ft ichomoke...watakua chapatiii
 
Bahati mbaya driver achomekewe huko mbele afunge brake ghafla...kitakachotokea Mungu tu ndie anaejua,nilishuhudia siku moja pale bonde la mkwajuni hawa wnaovaa viatu vya tairi deveva wa DCM alishika brake dogo akajigonga kwenye angle ya body hakuomba maji!
 
ikawaje tena ndugu?
 
AAdpilp.img

Wauza mkaa na ndizi mjini Bugarama nchini Burundi wakiwa wanarudi makwao baada ya biashara...husafiri mwendo wa 45km kwa style hiyo

Yaani, dah umenikumbusha mbali...kama 7years back nilikua huko nikashuhudia ajali jama wa baiskeli alichungulia mbele aliwa ameshikilia pembeni gari inayotoka the other side ikampitiaa
 
Back
Top Bottom