siwezi kumkimbia yule..yeye mwenyewe anajua mimi kaka ake!!!
Ikiwa yeye mdogo yuko ivo sijui wewe kaka ukoje
Kwi kwi kwi
Yeye ni nyani ngabu, wewe ni nyani gani?siwezi kumkimbia yule..yeye mwenyewe anajua mimi kaka ake!!!
kula tano mkuu
Patamu hapo, umemkamata hana hamu..hahaha
Kumbe bado kijana tu!Huyu ndio Nyani Ngabu
hahahaaaaaaaa,tabia tutabadilishanaSura tutavumiliana View attachment 171982
Huyu ndio Nyani Ngabu