Picha ya nani hii?

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Dume moja liliokota kifaa cha "Twanga Halafu Kimbia" na wakakubaliana kwenda nyumbani kwa "Msichana".
Baada ya kumaliza kufanya mapenzi, dume likaona picha ya mwanamume juu ya meza. Wivu wa ghafla ukampanda.
Dume: "Picha ya nani hii?", aliuliza lakini msichana hakujibu."Ni ya mwanamme wako?"
Msichana: "Hapana"
Dume : " Ni kaka yako?"
Msichana: "Mm mm"
Dume: "Ni baba yako alipokuwa kijana?"
Msichana: "Hapana"
Dume: "Niambie basi, ni ya nani?
Msichana: "Kumbe una wivu enh?"
Dume: "Wacha kunizungusha, ni picha ya nani?"
Msichana: "NI MIMI KABLA YA KUFANYA OPERESHENI YA KUBADILI JINSIA"
 
dah! Kumbe wanabadili na kuiweka k nyingine na utamu unakuwepo kama kawa? Basi wazungu wanatisha. Nalog off
 

mashalaaaa
 
Chapa ukimbie halafu anaulizia picha za wenzake?
Duh! **** huyo!
 
Sasa chapa ukimbie unakagua chumba! Kwanza kwenda kwa msichana ni mistake
nice joke lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…