marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Day dreamer......watu wengine wanaweza kufikiri na kuamini kuwa jamaa alijiandaa kushinda urais, lakin hakujiandaa kuwa rais.
Day dreamer......watu wengine wanaweza kufikiri na kuamini kuwa jamaa alijiandaa kushinda urais, lakin hakujiandaa kuwa rais.
huwezi uona mapaka ukiwa mwezini.Huo "mwezi" uko wapi?
Huyo ndio Trump hacheki na manyang'auHiyo sura yake hata kama mtoto analia akimwona lazima anyamazee..
Meaning!?Day dreamer....
Unamwita mwendawazimu wakati anaweza amua nchi yako ifutwe ndani ya nusu saa na ikafutwa kabisa??!Trump ni mwendawazimu kabisa
Kwa trump nakupinga ila kwa sizonje nakubali!..watu wengine wanaweza kufikiri na kuamini kuwa jamaa alijiandaa kushinda urais, lakin hakujiandaa kuwa rais.
😀😀😀Mfuatilie kwa umakini utagundua hakujiandaa kuwa president. Kilichotokea ni kama kumtongoza demu mkali sana, ana kukubalia halafu kutokana na kutoamini kwamba umekubaliwa unakuwa na furaha sana kiasi kwamba unashindwa kupiga game, yaan mtarimbo unalala doro.😛Kwa trump nakupinga ila kwa sizonje nakubali!
Hahahahaa haya mkuu!! Ila ndio hivyo ni rais wa USA!!😀😀😀Mfuatilie kwa umakini utagundua hakujiandaa kuwa president. Kilichotokea ni kama kumtongoza demu mkali sana, ana kukubalia halafu kutokana na kutoamini kwamba umekubaliwa unakuwa na furaha sana kiasi kwamba unashindwa kupiga game, yaan mtarimbo unalala doro.😛
We jamaa ni mbishi naunaonesha ulipata zero form four! Mtu aliepambana kwenye debate na watu kumi na saba, tena wenye uwezo mkubwa kama Ben Carson, Ted Cruz, Gov Bush Jr, Marco Rubio, John Cassic etc kwa mwaka mzima wanashindana na akawashinda! Akaja kupambana na Hillary ambaye ni mzoefu wa Washington politics kwa miaka mingi na akashinda bado unasema hakujiandaa? Ulitaka apake powder ndio uone amejiandaa? Mwaka 2012 Trump alkuwa tayari ameonesha nia ya kuutaka uraisi, nenda kaangalie speech take pale Liberty university lakini pia mwaka 78 alipokuwa anahojiwa na mwandishi wa habari aligusia kuhusu uraisi ana alisema akigombea atashinda! Amekuwa akiwasapoti reps candidates kuandia mitty Romney na wenzake kwa kutoa pesa na hata alikiri wakihitaji awasaidie kutoa speech yupo tayari. Acha kuwa mjinga kwa kubisha ukweli!😀😀😀Mfuatilie kwa umakini utagundua hakujiandaa kuwa president. Kilichotokea ni kama kumtongoza demu mkali sana, ana kukubalia halafu kutokana na kutoamini kwamba umekubaliwa unakuwa na furaha sana kiasi kwamba unashindwa kupiga game, yaan mtarimbo unalala doro.😛
Vyeti vyangu havina grade C. Ni A na B tu. Kuna A nyingi sana kiasi kwamba unaweza ukaimba pambio ya 'aaaaaaaaaaaaaab baaaaaaa'😀We jamaa ni mbishi naunaonesha ulipata zero form four! Mtu