Picha ya Mwakyembe?

Picha ya Mwakyembe?

noma

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
49
Reaction score
8
Leo Mh. Harrison Mwakyembe amehudhuria bunge. Kuna yeyote aliyefanikiwa kupata picha yake?
 
Tafuta kwenye Hansard za bunge lol! Jaribu google search
 
umesikia kuna picha zake toleo jipya tofauti na picha tulizoziona hivi karibuni hadi umeamua kuzitafuta?

unazisaka kama vile kuna jipya
 
unataka upeleke kwa mganga wa kinyeji nini?
 
Mwakyembe maskini anavyofanana utadhani amefanya plastic surgery!utamjua kwa sauti tu cio sura
 
Back
Top Bottom