Picha ya mwaka.

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
19,428
56,795
Hawataki uwe tofauti na wao,wataona kama umewazidi.

514f726106d6ac8cc27bfe8395839308.jpg


Wanaona bora wavunje bulb ila wao mishumaa wabakie.
 
Katika ulimengu wa leo na hata wa kale(kwa mujibu wa historia) hichi ndicho hufanyika kwa walio wengi ambao ni nuru ya kudumu kuzimwa na wenye nuru ya muda.....huu ndo ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom